WATU 10 WAHOFIWA KUFA BAADA YA BOTI KUZAMA IKIWA NA WATU 50 HUKO ZANZIBAR April 05, 2017 Get link Facebook X Pinterest Email Other Apps Takriban watu 10 wanahofiwa kufa maji baada ya boti iliyokuwa imebeba watu takriban 50 kuzama baharini, visiwani Zanzibar. Bbc ilifanikiwa kuzungumza na nahodha wa boti ya Azam SeaLink inayosafiri kutoka kisiwa cha Pemba kwenda kisiwa cha Unguja Nassor Aboubakar, waliofanikiwa kumuokoa mmoja wa wavuvi hao. Comments
Comments
Post a Comment