ROMA NA WENZIWE WAKAMATWA NA POLISI SOMA ZAIDI....



  • ROMA MKATOLIKI AMEKAMATWA USIKU ... Nimestushwa sana kusikia kuwa kuna watu wamevamia studio za TONGWE RECORDS majira ya saa moja usiku na wamemchukua ROMA Hayo aliyasema pfof jay kwenye acount yake ya instagram @roma2030 , MONI @moni_centrozone na kijana wa Kazi na pia wamechukua COMPUTER ya studio na Screen (Tv) na wameondoka navyo kusikojulikana..

    na mpaka sasa haijajulikana kisa tutazidi kuwajuza..


Comments