SOMA HAPA ALICHOSEMA GWAJIMA HATARII

Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat
  • Askofu wa kanisa la ufufuo na uzima josephat gwajima amesema
 yeye ni zaidi ya mashine ya kusaga na kukoboa ambayo ukiweka
 miguu tu unageuka sembe ameongeza kwa kusema baba wa familia
 amechokozwa kuwa anavuta unga watoto wamechachamaa wanataka
 baba ampige adui yake nitaendelea kupiga bila kuogopa chochote watu
 wanasema niache kupiga mbona hawakumwambia yeye aache kunipiga
  •  nitampiga tu na kazi inaendelea alisema Gwajima'''

Comments