HAYA HAPA MANENO YA WEMA SEPETU BAADA YA KUONANA NA LEMA

  • Msanii wa filamu nchini Wema Sepetu ambaye hivi sasa amehamia
  •  Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ametimiza
  •  hadi yake kwenda kuonana na Mbunge wa Arusha mjini 
  • Mhe. Godbless Lema ambaye amepata dhamani siku ya Ijumaa na kutoka gerezani. 
  •  
  •  
  • Baada ya Wema Sepetu kufanikiwa kuonana na Mbunge wa Arusha
  •  Gobless Lema amefunguka na kusema saizi anajisikia furaha na amani
  •  kuwa ndani ya chama hicho
  • "Finally Met my brother, aisee Chadema inanipa furaha mimi. 
  • Nina amani ya moyo... Ona Venye nacheka .... It was A Good Day...." aliandika Wema Sepetu

Comments